Robin fentiYa kweli mkuu hii, hili jina mbona kama...
Robin fentiYa kweli mkuu hii, hili jina mbona kama...
Kumbe huyu mwanakwetu?Taraj P. Henson - Tarajia Pendo Henson
Abdulwahid SykesABDULI SYKES = DULLY SYKES.
lucky phillip dubeLucky Dube - Siko sure jina lake halisi but naamini lipo
Hamis Mandi-B Dozen ni mzaliwa wa Tabora ila kakulia ArushaKwahiyo kumbe ukimwacha Mami hao jamaa wengine wa xxl ni kutoka kaskazini??..
A.K.A Mpumbavuparamagamba kabudi-parA
ALLY TAICOON = MCHIZI MOX.
R... Da vinci....
Naona tunabatizana majina😂😂Raymond... Da vinci
Wa kuthibitisha ni mtu wa kwenye system,na Bashite yupo ndani ya system.Hapo hakuna uthibitisho! Ila ukweli ndiyo huo.Hizi tetesi/tuhuma hata mimi nilizisikia ila sidhani kama zimethibitishwa officially!