Renegade
JF-Expert Member
- Mar 18, 2009
- 7,124
- 6,756
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Issue boy- JosephatMK 14- Meddie Kagere
Sure boy - Abubakar salum
Duniani kote watu maarufu - wanasiasa, wanamichezo, wanamuziki, waigizaji na wengineo - wamekuwa wakitumia majina tofauti na majina yao halisi/kamili/waliyopewa wakati wa kuzaliwa. Kuna sababu tofauti zinazosababisha hali hii. Mfano, kufupisha jina refu, kutumia jina maarufu/la utani, kubadilisha dini nk. Nimebahatika kufahamu majina halisi/kamili ya wafuatao:
Abedi Ayew - Abedi 'Pele'
Cassius Marcellus Clay Jr. - Muhammad Ali
Edson Arantes do Nascimento aka Pele - PELE
John Michael Nchekwube Obinna - John Obi Mikel
Kevin Oghenetega Tamaraebi Bakumo-Abraham - Tammy Abraham
Oluwafikayomi Oluwadamilola Tomori - Fikayo Tomori
Ronaldo de Assis Moreira - Ronaldinho
Thomas Cruise Mapother IV - Tom Cruise
William Bradley Pitt - Brad Pitt
William Jefferson Clinton/William Jefferson Blythe III - Bill Clinton
Je ni watu gani wengine maarufu unaofahamu majina yao halisi/kamili/waliyopewa wakati wa kuzaliwa ambayo ni tofauti na yale tuliyoyazoea?