Watu maarufu na majina halisi waliyopewa wakati wa kuzaliwa

J Gatz

Senior Member
Joined
Sep 13, 2019
Messages
109
Points
250

J Gatz

Senior Member
Joined Sep 13, 2019
109 250
Hata hiyo "TAICOON" au Tycoon ni jina lake la usela tu! Ngoja nimuulize Jaffaray majina halisi ya Mchizi Mox
Kwa nilivyosoma sehemu fulani ni jina lake halisi, na linaandikwa Taikun sio hiyo tycoon ya Kiingereza. Ila kama upo karibu na Jaffarai muulize Mkuu tupate uhakika.
 

Renegade

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2009
Messages
4,857
Points
2,000

Renegade

JF-Expert Member
Joined Mar 18, 2009
4,857 2,000
Ngoja tuwakumbuke Wanasiasa na wengineo
1.Jakaya Mrisho Kikwete-JK
2.Joseph Robinette Biden Jr -Joe Biden
3.William Pelham Barr -Bill Barr
4.
Ali Hassan Abd al-Majid al-Tikriti -Chemical Ali
5.
Joseph-Désiré Mobutu-Mobutu Sese Seko
6.Vladimir Ilyich Ulyanov -Vladimir Lenin
7.Agnes Gonxha Bojaxhiu -Mother Teresa
8.Stephen Demetre Georgiou, formerly known as Cat Stevens -Yusuf Islam
 

J Gatz

Senior Member
Joined
Sep 13, 2019
Messages
109
Points
250

J Gatz

Senior Member
Joined Sep 13, 2019
109 250

Forum statistics

Threads 1,343,413
Members 515,033
Posts 32,783,909
Top