Watu maarufu duniani waliofariki kabla ya kufikisha miaka 50

regia mtema chadema wanjua walimfanyia
huyu Dada naona alifia pale Ruvu darajani kwa ajali ya L/cruiser yake iliingia bondeni
alikuwa mlemavu km sikosei wa mguu wa kulia na tulikuwa naye JF
sijajua JF walimsababishiaje ajali hiyo
tujuzane maana miaka 10 imepita
 
Florence Ballard of the Supreme, 32
4041_119298244842.jpg
 
Heinrich Hertz (36) he showed the presence of electromagnet waves without him it could be difficult even to interact as we interact here in this platform. Because our devices do use those waves to communicate each other.
Heinrich_Rudolf_Hertz.jpg


 
9.Princess Diana, miaka 36.
Alikuwa ni mke wa mtoto wa
Malkia wa Uingereza. Alifariki kwa
ajali ya gari, wengi wanashuku
ajali hiyo ilipangwa.9.Princess Diana, miaka 36.
Alikuwa ni mke wa mtoto wa
Malkia wa Uingereza. Alifariki kwa
ajali ya gari, wengi wanashuku
ajali hiyo ilipangwa........
........ Huyu princess Diana alikufa kwa ajali ya gari wakat akiwakimbia mapaparazi nchini ufaransa aligonga nguzo ya umeme. Hyo ni baada ya kuachana na mtoto wa malkia na kujiingiza kwenye mahusiano na jamaa flan hvi japo sikumjua vizr aliyekuwa anamchukua kwa kipind hicho
aliyekuwa anamchukua ni Dod Alfayed
 
41 Reactions
Reply
Back
Top Bottom