Mungai Msele
Senior Member
- Dec 19, 2013
- 105
- 28
Watu kwa mamia wameshuka majiani hii leo, huku wengine wakiwa na mizigo na watoto lakini kwa wakaazi wa Arusha, hawashangai kwani maeneo haya yaafahamika kwa kuwa na wasafiri wengi wanaokwenda kuadhimisha Sikukuu za Krismas na Mwaka mpya Mkoani Kilimanjaro, Magari ya usafiri yamekua bidhaa adhimu wakati huu,Sababu wasafiri ni wengi kupita kiasi ya magari, Taarifa za vyombo vya Usalama zimetoaonyo kali, Kwa wanaopandisha nauli wakati huu, Wakati hayo yakitokea Arusha, Mkoani kilimanjaro kumekua ndiko halaiki hii ya watu huishia, Mkoa wa kilimanjaro pamoja na kua ni mji adhim ktk historia ya Tanzania, Umekua na historia ya kutoa Viongozi Mahiri miongoni mwa Jamii.