Naibili
JF-Expert Member
- Jan 24, 2011
- 1,730
- 519
kuna habari zimezagaa hapa mjini, kuwa ccm inakusanya watu ili kuwapeleka igunga wakati wa kupiga kura, habari hizo pia zinazidi kueleza kuwa mpango huo unaratibiwa na baadhi ya vigogo wa chama hicho ambao ni matajiri hapa mwanza wakiwa ni wafanyabiashara wakubwa, pia inaelezwa kuwa watu watakao pelekwa igunga watagharamiwa gharama zote ikiwemo usafiri, malazi kwa izo siku watakazo kuwepo huko, na pia inasemekana watalipwa kiasi cha sh. 50,000 ikiwa ni kifuta jasho kwa kazi hiyo. NAWASILISHA