Watu kukodishwa Mwanza kupelekwa IGUNGA!

Naibili

JF-Expert Member
Jan 24, 2011
1,730
519
kuna habari zimezagaa hapa mjini, kuwa ccm inakusanya watu ili kuwapeleka igunga wakati wa kupiga kura, habari hizo pia zinazidi kueleza kuwa mpango huo unaratibiwa na baadhi ya vigogo wa chama hicho ambao ni matajiri hapa mwanza wakiwa ni wafanyabiashara wakubwa, pia inaelezwa kuwa watu watakao pelekwa igunga watagharamiwa gharama zote ikiwemo usafiri, malazi kwa izo siku watakazo kuwepo huko, na pia inasemekana watalipwa kiasi cha sh. 50,000 ikiwa ni kifuta jasho kwa kazi hiyo. NAWASILISHA
 
CDM tuko tayari kuzilinda kura zetu hata kwa siraha za jadi ikibidi na katu ccm hawataweza..mbona arusha,iringa na mwanza walichemka 2010?
 
Labda vijijini mjini nani atakae kubali kupoteza muda kwa huo upuuzi?
 
Back
Top Bottom