WAtu Kufa Kwenye Ajali za Majaribio ya Umadhubuti wa Vyombo vya Uokozi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

WAtu Kufa Kwenye Ajali za Majaribio ya Umadhubuti wa Vyombo vya Uokozi

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by IshaLubuva, Sep 9, 2010.

 1. I

  IshaLubuva JF-Expert Member

  #1
  Sep 9, 2010
  Joined: Dec 4, 2008
  Messages: 248
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Hivi karibuni kumekuwa na matukio ya kufanya majaribio ya kuona ufanisi wa Vikosi vya Uokozi kwenye majanga mbalimbali yanayotokea kwa kuanzisha ajili za makusudi (au ishara za ajali). Mathalan, jana kwenye Taarifa ya habari ya ITV kulikuwa na habari ya kutokea ajali ya ngege Mkoani Mtwara lakini mwishoni mwa habari hiyo ilielezwa kwamba ajali hiyo ilifanywa makusudi kwa lengo la kupima ufanisi wa vikosi vya uokozi.

  Maswali langu ni je, iwapo itatokea watu wakafa je hilo siyo kosa la kuua kwa kukusudia?; Ni nini haki ya mtu ambaye anaathirika (iwe kwa kuumia, kufa au mshituko) na vitendo hivyo?

  Tafadhali wataalamu wa sheria mnifafanulie
   
Loading...