Watu kama akina luhanjo ni mzigo kwa maendeleo ya taifa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watu kama akina luhanjo ni mzigo kwa maendeleo ya taifa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by hittler, Jul 24, 2011.

 1. h

  hittler Member

  #1
  Jul 24, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuendelea kuwa na viongozi kama katibu mkuu kiongozi bwana Philimon Luhanjo ni mzigo kwa maendeleo ya taifa. Tunahitaji watu wenye maono na wa kweli katika kulitumikia taifa. Hoja za kinafiki na kejeli hazitakiwi wakati wa kudili na mambo yanayohusu taifa. Iweje Luhanjo aseme Jairo hana mashtaka ya rushwa? Kujuana kwao isiwe tabu wajaribu kuwa na huruma jamani. Luhanjo amekosa kusimamia ukweli na badala yake analeta urafiki hatupendi na hatutaki viongozi wababaishaji
   
 2. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #2
  Jul 24, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Ndio maana tunahitaji Nguvu ya Umma kuwaondoa hawa WANAFIKI, wanaokula keki yetu ya taifa peke yao. Barua yenye muhuri na sahihi kabisa ya mtu lkn bado anasafishwa kweli jamani? natamani niwachape viboko kwa mikono yangu wote hawa!!!!
   
 3. S

  SWAZI Member

  #3
  Aug 2, 2011
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 87
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kweli kabisa nakubaliana nawe
   
Loading...