Watu huwa wanapotezaje kadi za magari/pikipiki?

GAZETI

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
5,277
6,673
Nimekuwa nikijaribu kufuatilia matangazo mbalimbali ya biashara
kwenye magazeti lakini kilichonishangaza badala ya kukutana na
matangazo ya biashara, nimeshangazwa na uwingi wa
Matangazo ya Kupotea Kwa Documents mbalimbali zikiongoza kadi
za Vyombo vya moto .

1. Inakuwaje Documents zinapotea kwa uwingi kiasi hiki?
(Nimewahi kukuta ukurasa mzima ukiwa na matangazo ya kupotea kadi za magari)

2.Kwanini matangazo ya biashara yamepungua magazetini?
 
Back
Top Bottom