technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 11,975
- 48,843
Hakuna watoto walikuwa na kibri na jeuli kama watoto wa Gaddafi Hakuna mwanamke alikuwa na kibri na jeuri kama mke wa Robert Mugabe.
Kama familia au washirika wa Al-Bashir wanapekuliwa, wanasachiwa, wanavuliwa nguo hawana kabisa amani tena, wewe Bashite ni nani?
Wote niliowataja mwisho wao hakika umekuwa na uchungu mkubwa.
Ukija Tanzania kwenye utawala wa Kikwete, Masha na Membe na Karamagi walikuwa un-touchable, leo wako wapi? Leo Membe mpaka watu hawapokei simu zake.
Makonda na Sabaya mjifunze kwa Ridhiwani Kikwete pamoja na kuandamwa sana na wapinzani hajawai kuudhalilisha upinzani public.
Pamoja na kuwa na uwezo wa kufanya chochote ndani ya utawala wa Kikwete lakini bado kuna muda alijishusha. Nakumbuka bungeni kwenye mjadala wa Escrow alisimama kutoa maoni na Nasari aliomba mwongozo na kumwambia nyamaza na Ridhiwani alinyamaza na kukaa, sijui angekuwa Makonda ingekuwaje?
Makonda, Sabaya, Ally Hapi Siri, Polepole & co Tutatazama mwisho wenu.