Tuko JF-Expert Member Jul 29, 2010 11,178 7,319 Jun 14, 2013 #1 Huwa kila nikiangalia video za album za mwanzo za Bahati Bukuku namfananisha sana na Rihanna...
Amavubi JF-Expert Member Dec 9, 2010 30,140 13,215 Jun 14, 2013 #5 Amavubi said: picha? Click to expand... oh sorry ilichelewa kushuka...nimeamini
Fugwe JF-Expert Member Aug 21, 2008 1,676 656 Jun 14, 2013 #6 hata kidogo hakuna kufanana hapo labda kama una lako jambo
SHIEKA JF-Expert Member Dec 20, 2011 8,244 4,258 Jun 15, 2013 #7 Midomo minene ya kibantu ya Bahati Bukuku inaondoa kabisa ufananisho!
S Sangomwile JF-Expert Member Aug 17, 2012 3,195 1,021 Jun 15, 2013 #9 Anamaanisha mapambo,kiMungu na kidunia.