Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,039
- Thread starter
- #21
Kabla hujachoka ndio Mungu anaamua kuumchukua nakwambia utajuta
Hakuna majuto yeyote mkuu zaidi yakubadilisha ladha
Kabla hujachoka ndio Mungu anaamua kuumchukua nakwambia utajuta
Badilisha Sana hatukukatazi ila omba Sana uoe kienyeji alafu mwanamke akufie na ndugu wa mke wagome kumzika,ndugu utamlipia marehemu mahari tena hawataji ndogoHakuna majuto yeyote mkuu zaidi yakubadilisha ladha
Mfano yeye ni mama wa nyumbani, wewe ni mfanya biashara....Mafanikio gani tena mkuu!?unaweza kugawana na mtu ambaye hajawekeza hata kumi?
Huyo ni mkeo kisheria na anahaki zote Kama mke.
Nani kakudanganya mkuu?Nasikia ukifungia mama miezi mitatu ikapita ni wako tu
Ngoja nisome maoni Hapa chini.wanawake tuna roho ngumu sana.
We acha tu hadi mimi sikuamini.Kumbe hii id ni ya mwanamuke!!!! 😀
Watu nimesikia, ebu wewe tuambie ukweli imekaaje!?Nani kakudanganya mkuu?
Mmh hiv unaweza lipa nini kitakacho kuwa sawa na ile peace of mind, comfort, huduma anazotoa kama mama wa nyumban na mke kwako? Usiseme hajawekeza kitu wenda kawekeza kikubwa kuliko vile ww unavyo fikriaMafanikio gani tena mkuu!?unaweza kugawana na mtu ambaye hajawekeza hata kumi?
Sheria inasema kipindi cha zaidi ya miaka miwili.Watu nimesikia, ebu wewe tuambie ukweli imekaaje!?
🤣🤣🤣🤣Mna ujinga mwingi sio roho ngumuwanawake tuna roho ngumu sana.
I Think like a man.Ngoja nisome maoni Hapa chini.
We acha tu hadi mimi sikuamini.