Jabman
JF-Expert Member
- Jul 27, 2016
- 1,005
- 1,337
Ni mawazo yangu. Kuna watu wanaletwa na Mungu ili kusaidia wengine wasio na uwezo wa kupambanua mambo. Binadamu tupo wa aina nyingi.
Nasema kuna watu kazi yao no kuelimisha jamii nyigine. Inapofika wakati wakapewa madaraka ya kuiamulia jamii wanapotea kabisa. Mfano wa hao watu ni
1. Humphrey P
2. Tundu
3...
Nasema kuna watu kazi yao no kuelimisha jamii nyigine. Inapofika wakati wakapewa madaraka ya kuiamulia jamii wanapotea kabisa. Mfano wa hao watu ni
1. Humphrey P
2. Tundu
3...