Watu gani unaweza kuwavumilia? Wachaga washamba au Wasukuma washamba?

Ileje

JF-Expert Member
Dec 20, 2011
8,796
12,239
Ukienda bar ukawakuta wachaga na wasukuma washamba ujue unaweza kuishia kuwa na stress za kufa mtu!

Wachaga watakuwa wanapiga makelele na kujisifu kuwa wana pesa wakati wasukuma nao watakuwa wanapiga makelele na kuimba kwa nguvu kuwa ni vidume na wana pesa za kununua bar!

Kwa kweli watu hawa wananiharibia evening yangu!
 
Acha pombe, usipende kuandika vitu ukiwa umelewa matokeo yake ndo ushuzi kama huu, pombe huziwezi kabsaa, we tuachie sisi tu
 
Haya ndiyo madhara ya kuvutia bangi chooni ukichanganya na harufu ya choo unalewa mara mbili mada za kibangi bangi kabisa.
Hasa nyie wa Simiyu badala ya kuongea kwa ustaarabu mnaanza kuimba hovyo!!
 
Yaar Charansh! Study semester college exam? kuch aur bhi dala karo
 
Naona Christmas imekaribia mada za wachaga zimeanza
Ila ukweli kama tusingekuwepo wachaga aisee tz ingekua kama sudani kusini lami iko barabara ya kwenda ikulu tu!!
Kwani wachaga ndiyo wanaleta lami?! Pombe tupu hizi!!
 
Back
Top Bottom