Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,552
Wanabodi.
Kuna watu muda karibu wote wapo active mno kwenye social media hasa tweeter , instagram , JF na Facebook!
Muda baada ya kazi (hasa jioni) nikifungua tu nakuta threads zao za tokea asubuhi, mchana na kuendelea. Na bado nikilala , kesho yake nagundua usiku waliendelea kuchart na kutupia vitu kwenye mitandao kadhaa ya kijamii! Siyo kitu kibaya , ni kizuri tu.
Kuna watu maarufu tu kama wasanii , wanaharakati , waheshimiwa na vigogo wa serikali.
Najua kuna kundi la watu (VIP) ambao kuna vijana wanaoperate social media kwa majina yao. Hawa tuwaweke kando kidogo.
Nazungumzia watu wa chini au kati ambao muda mwingi (karibu wote) wapo busy sana.
Kazi wanafanya saa ngapi?
Maisha yanakwendaje bila kuwa busy na kazi?