Watu 9 wafariki dunia katika ajali iliyohusisha Hiace inayopeleka Magazeti Mbeya

.
FB_IMG_1639459541457.jpg
 
Wafanyabiashara siku zote wanataka faida kubwa bila kujali sana maslahi ya watu wengine ndio maana lazima wapigiwe kelele.
Mwananchi wanapaswa kuwa na printing machine za magazeti Mbeya, Arusha na Mwanza.
Tatizo watu wanadhani wana options ambazo hizo kampuni hawajafikiria.
 
Kumbe ni kampuni ya Mwananchi? Kuna kijana alikuaga mteja wangu ni dereva wa hayo magari ya magazeti Dar-Mbeya. Naomba Mungu asiwe ni yeye aisee
Kuna kijana wa mtaani kwetu ndio huwa anaendeshaga sana hiyo T 249 DWT, nilivyoona imepata ajali nikashtuka sana, nikacheki nae chap kwenye simu kuona kama anapatikana. Kumbe siku ya tukio alibadilishwa, dereva hakua yeye
 
Mungu ni mwema wakati wake haukufika.
 
Wafanyabiashara siku zote wanataka faida kubwa bila kujali sana maslahi ya watu wengine ndio maana lazima wapigiwe kelele.
Mwananchi wanapaswa kuwa na printing machine za magazeti Mbeya, Arusha na Mwanza.
Wafanyabiashara wa kibongo hao mzungu hawezi fanya upuuzi wa kusafirisha magazeti more than 2000KMS kila siku!
Kampuni za kibongo huwa hawajali kabisa mazingira ya kazi yani bora punda afe mzigo ufike.

Kwa hali ya sasa ilivyo ngumu kuna mtu atataka amfanyishe mwenzie kazi ya kupakia palets za kubebea mizigo kiwandani kwa 1.9TZS! Nilishangazwa sana na hilo baada ya kupita Mohamed Enterprises pale vinguguti!

Imagine ili upate Tsh.190 inabidi upakie pallets 100! Ni hustle kiasi gani na unyonyaji ulioje? Wanaopiga uwaka wanakula buku 7 kmmmk walai hapo ni saa12 asubuhi mpaka 12 jioni mzee😅!

Acheni watu watmbe vibibi vya kizungu tu ulaya viwandani hamna kazi za kingese kama za huku kutumikishana siku nzima mtu akulipe dollar 3!

Huyo dereva alie risk maisha yake utakuta analipwa 50,000 tu kila trip! Hapo hana bima ya afya wala benefit ingine yeyote kazini😅
 
Niamini mimi,zilikua Isuzu pickup,gia sita spidi 240 kama hilux D4D,jamaa akikanyaga gia rotation inafika sita ndio anachange ingine,spidi yao ni hatari mnooo nimepanda zaidi ya mara 10,cha pekee zaidi jamaa wanajua kutunza mafuta aisee diesel wanaiuza inayobaki ndio wanatembelea gia namba 5 na 6 tuuu

kijiwe gani upo mkuu
 
hivi haiwezekani kuweka printing house mfano Mbeya ikawa inaprint kwaajili ya mikoa ya kanda ya juu kusini? au mtaji wake ni ghari sana? haiwezekani hadi leo hii tutegemee gazeti litoke Dar ndo lije hapa Mbeya tena kwa kuchelewa.
 
Ifikie mahala jamaa wangebadili mfumo tu kusafirisha gazeti kwenye hiace sio safe kabisa. Bora hata wangenunua wagons za kijerumani au gari za chini ambazo ziko stable zaidi with powerful engines!
Mswahili hana akili hiyo Kaka. Wanatumia sana hizo Hiace na Noah
 
hivi haiwezekani kuweka printing house mfano Mbeya ikawa inaprint kwaajili ya mikoa ya kanda ya juu kusini? au mtaji wake ni ghari sana? haiwezekani hadi leo hii tutegemee gazeti litoke Dar ndo lije hapa Mbeya tena kwa kuchelewa.
Imagine karne hii ya 21 alafu tunajisifu kuwa tumeendelea!
 
Jana nacomment huu uzi kumbe ajali imeondoka na classmate wangu aisee, leo ndo tunapata taarifa za msiba baada ya familia yake kuanza kumtafuta maana dar hayupo na mbeya hayupo na simu yake imepigwa kapokea msamaria mwema anayeishi eneo ambalo ajali imetokea.
 
Back
Top Bottom