Watu 8 wamefariki baada ya basi la Modern Coast kugongana na Lori nchini Uganda

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397
Takriban watu 8 wamefariki dunia baada ya basi la Kampuni ya Modrrn Coast kugongana na Lori la mizigo katika barabara kuu ya Jinja-Tororo

Mashuhuda wamesema kuwa Lori hilo lilipoteza uelekeo na kuacha njia kisha kwenda kugongana na basi hilo lililokuwa lometokea nchini Kenya likielekea Kampala Uganda

Idadi ya majeruhi bado haijafahamika ingawa basi hilo lilikuwa na abiri 40

Aidh, mejeruhiwa wa ajali hiyo wamekimbizwa katika Hospitali za Burigi, Iganga na Fast Line Medical Center

=========

ast eight people were killed on Sunday morning when a trailer collided with a passenger bus from Kenya in Nakawa, along the Jinja-Tororo highway, Uganda.

The trailer was coming from the Kampala direction when it veered off the road and crashed into the Kampala-bound Modern Coast bus, witness Besweri Kawanguzi said.

He was on his way to his farm at around 5.30am when he witnessed the accident.

The injured were taken to various hospitals, including Bugiri, Iganga and Fast Line Medical Centre in Bugiri.
Police took the bodies to Bugiri Hospital mortuary.

The officer-in-charge of traffic at Bugiri Police Station, Mr Hopkins Twesiga, said the bus had 40 passengers on board and six of them were killed in the accident.
 
Back
Top Bottom