Watu 8 wafariki ajalini Mbeya

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,597
154,860
Wiki hii tumesikia huko Msangamwelu Fuso limeua watu zaidi ya 14.
Mara moto umeteketeza kituo kikuu cha Polisi.
Soon tutasikia kubwa zaidi
 
kwa vile hawajui watasema wanawakomoa watz, mwisho wa siku wataumia wao.
 
Hii ya kituo cha polisi ni kali! Ni kituo kipi? cha kati au police post?
 
polisi kati jirani na kituo cha zima moto na ofisi ya zamani ya mkuu wa mkoa
 
Huko kunakila kitu,hata mapinduzi ya nchi yataanzia mbeya
 
Serikali ndo inyotakiwakubalika siyo watu wa mbeya

mkuu kila kitu tukisingizia serikali tutafika kweli?! huu mkoa nadhani unahitaji maombi maalum!
jana wakati moto unawaka polisi wapiga nondo nao waliibuka, watu tisa wamelazwa hosipitali ya rufaa huku polisi mmoja akiwa kauawa baada ya kuvamiwa na wapiga nondo maeneo ya forest! sijui kuna nini mbeya,makanisa kibao,watu wanyenyekevu ile mbaya, lakini ushirikina, mauaji, kuchuna ngozi, na mengi mabaya kila kukicha yanatokea MBEYA,....Ahhhh!!!
 
Soweto zamani kila siku watu walikuwa wanachinjwa.
Forest ulikuwa ni msitu wa kuchinjia.
Ghana alikuwepo chinjachinja maarufu anaitwa Jailo au Jaeli, baba Manyenye, alikuwa ni profesheno.
Mbeya RPC akifanya kazi vizuri anapandishwa cheo na kuletwa kuonana na raisi.
Jombi ndiye aliyekuwa mwizi wa kwanza wa magari. Huyu alikuwa ni mnyakyusa wa Kiwira. Mbeya usiende kama huna roho ya ujasiri
 
Hayo mabalaa ni kawaida tu, kuna hili la polisi wawili kupigwa nondo mmoja kafa mwingine yuko hoi hospitali, na watu kibao wamepigwa nondo jeshi la polisi limeshindwa kuwadhibiti pia limeogopa kutoa taarifa sahihi juu ya watu waliopigwa nondo, yaani mbeya ni balaa ushirikina nje nje, juzi kuna ajali imetokea iyunga ambapo mama mmoja aligongwa na Hiace akafa wakatokea watoto wawili wakiwa wamevaa uniform za shule ya msingi wakaanza kulamba damu hapo barabarani, watu walivyoanza kutaka kuwakamata walitoweka kimiujiza. ogopa Mbeya ni balaaa.
 
juzi kuna ajali imetokea iyunga ambapo mama mmoja aligongwa na Hiace akafa wakatokea watoto wawili wakiwa wamevaa uniform za shule ya msingi wakaanza kulamba damu hapo barabarani, watu walivyoanza kutaka kuwakamata walitoweka kimiujiza. ogopa Mbeya ni balaaa.

nahisi watoto hao wametumwa na Gaddafi
 
Back
Top Bottom