watu 600,000 wawania ajira 200,000 za sensa

Kuna watu mnaenda kukosa ajira za sensa hapo

Naona watumishi wa serikali wakipata hizo ajira haswa walimu na watumishi wa halmashauri..

Tatizo la Ajira Tanzania ni kubwa

Source: Azam news

Sent from my TECNO CD7 using JamiiForums mobile app
wapigwe chini waajiriwa wa sekta binafsi na wa serikali waloomba.Wapewe wasiwahi kuajiriwa.
 
watu 600,000 wawania ajira 200,000 za sensa

Kuna watu mnaenda kukosa ajira za sensa hapo

Naona watumishi wa serikali wakipata hizo ajira haswa walimu na watumishi wa halmashauri..

Tatizo la Ajira Tanzania ni kubwa

Source: Azam news

Sent from my TECNO CD7 using JamiiForums mobile app
Hamna tatizo kabisa hapo.

Ina maana kwenye kila nafasi moja wana wania watu 3, huo ni uwiano mzuri kabisa.
 
Back
Top Bottom