Watu 44 wafariki kwa kiu ndani ya Jangwa la Sahara baada ya basi lao kuharibika

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,410
Watu 44 wamefariki kwa kiu ya maji baada ya basi lao walilokuwa wakisafiria wakikatiza ndani ya Jangwa la Sahara.

Manusura 6 waliofanikiwa kutembea hadi kwenye kijiji cha jirani walikopatiwa msaada. Kati ya waliopoteza maisha wapo watoto kadhaa.

Msafara huo ulikuwa na raia wengi kutoka Nigeria na Ghana waliokuwa wakitaka kufika Libya ili waweze kuvuka kwenda Ulaya.

_96300507_nigerdesert.jpg
======
Survivors say 44 people have died of thirst after their truck broke down in the Sahara Desert in northern Niger, the Red Cross has told the BBC.

The six survivors walked to a remote village and are being looked after in Dirkou, Niger, Red Cross official Lawal Taher said. They say several children among the dead.

The Ghanaians and Nigerians were trying to get to Libya, reports Nigerien news site Sahelien.

So far no-one has visited the site to identify the bodies, Mr Taher added.

The route from Niger to Libya is one of the main ways migrants reach North Africa before crossing the Mediterranean Sea to get to Europe.

Crossing the Sahara is one of the most perilous parts of the journey as migrants are crammed into pickup trucks often with only enough room for a few litres of water, reports Reuters news agency.

Authorities told Reuters that is it almost impossible to know how many have died in the vast and unpoliced Sahara.

Source: BBC
 
Eeeeh !! msije mkasema waarabu wamewanyima maji ?!!?! Very Sad, leo watu wanakimbia nchi zao zenye rasilimali kubwa... "hawa wanasiasa na viongozi watahesabiwa na kuadhibiwa vilivyo"
Kweli viongozi hawa wa kiafrika hawana huruma na watu wao halafu unakuta mtu analaumu mataifa ya nje mlitaka kujitawala mnashindwa nini kupendana na kuweka amani na uhuru kwa watu wenu afrika bara la giza masikini
 
Africa tuna janga moja kuu,nalo ni uongozi!..
Ndg.mpendwa yareti kama ni uongozi pekee..,Upumbavu wao huchukuwa rasilimali,fedha na kujilumbikiza mali baadae wanazisafirisha nje!! angalau wangezitumia nchini mwao maendeleo yangekuwepo !!
 
Kha hivi wanafikiri Ulaya ni paradiso,ni ukosa akili kutumia njia hatarishi kwa maisha yako eti kisa tu,unataka kwenda Ulaya.
 
Pole kwao. Wamekufa kifo cha mateso sana

Hata helkopta ya doria hakuna
 
Back
Top Bottom