watu 4 kizimbani

saidomr

Member
Nov 20, 2010
58
2
kuna watu wa nne wamepandiswa kizimbani kwa kosa la kuchoma korowani.msafu. Uko mwanza.
 
pamoja na mtoa habari kutoiandika vizuri habari yake, tunatarajia bakwata itaheshimu utawala wa sheria na kujiepusha na mlipuko wa matamko. wawe bega kwa bega na upande wa mashtaka ili kuhakikisha wanaithibitishia mahakama, pasipokuacha shaka, kuwa kosa limefanyika. kwani wakipigwa bao kortini wasikimbilie fatwa wala matamko.
 
Back
Top Bottom