Watu 37 wamefikishwa mahakamani kwa kuharibu makanisa huko Mbagala

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,363
58,385
Watu 37 wamefikishwa mahakamani nchini Tanzania kwa kuharibu makanisa huko Mbagala. Wamefanya uharibifu wa kuchoma makanisa na kuiba pesa na vitu vya thamani inayozidi dola laki tatu.
Source: BBB Swahili.
 
Ifike mahali sisi waislam wenyewe tuamke na kukemea hivi vikundi kwani ni hatari na ndivyo vinasababisha tuzidi kuonekana magaidi
 
Ifike mahali sisi waislam wenyewe tuamke na kukemea hivi vikundi kwani ni hatari na ndivyo vinasababisha tuzidi kuonekana magaidi

Kweli mama d mimi nina rafiki zangu wote ni waislam hawa wa hivi sijui wametokea wapi
 
Hapa mama D umenena jamani!

Ni kheri wafikishwe mahakamani kama ilivyotajwa na adhabu kali itolewe na iwe mfano kwa jamii yetu ya Tanzania!

Serikali ya Jamhuri ya Muungano tangu kuanzishwa na waasisi wetu hawajawahi kusema ina DINI na leo tukisikia mambo ya udini nikitu ambacho haitatufikisha popote pale zaidi ya kuja kulaumiana na hata poteza matumaini ya wazalendo wetu!

Ingependeza Shekhe Ponda awe mshitakiwa wa kwanza!

Ifike mahali sisi waislam wenyewe tuamke na kukemea hivi vikundi kwani ni hatari na ndivyo vinasababisha tuzidi kuonekana magaidi
 
Hako ka-kesi katafutwa na shehe ponda akiwa na baraka za Jakaya Kikwete........
 
Ifike mahali sisi waislam wenyewe tuamke na kukemea hivi vikundi kwani ni hatari na ndivyo vinasababisha tuzidi kuonekana magaidi

Ifike mahali muyaseme hayo hadharani sio kwa kujificha JF muone shughuli zenu na za watoto wenu! chezeya viboko haramu vya mbagala weye!

Hakuna cha fatwa, kugeuka mbuzi wala mjusi............amkeni!
 
Kisheria hawa ndio wana takiwa kulipa fidia for demages they have caused!
 
waislamu tieni akili. waarabu waliwadanganya na hii dini!
Tupilia mbali hizo imani dhaifu nendeni shule na faida mtaiona!
wasomi wengi vijana uarabuni wamekimbilia US na Europe kuanza islam free lives!
 
Back
Top Bottom