Watu 34 wadaiwa kufariki katika maandamano DR Congo 22 Disemba 2016

Don san tan

JF-Expert Member
May 23, 2015
562
433
Shirika la kibinaadamu la Human Rights Watch linasema kuwa vikosi vya usalama ini DR Congo vimewaua takribani watu 34 wakati wa maandamano wiki hii.

Mazungumzo yanayoendeshwa na kanisa katoliki yanaendelea mjini Kinshasa, ili kujaribu kumaliza mgogoro katika ya upinzani na rais Joseph Kabila ambaye alikataa kuondoka madarakani wakati muda wake ulipokamilika siku ya Jumatatu.

Kuna ripoti tofauti kwamba watu wengine 17 wameuawa kaskazini magharibi mwa Congo. Maafisa wa polisi wanadaiwa kukabiliana na wanachama wa kundi moja la madhehebu linaloamini kwamba mwisho wa utawala wa Kabila ndio mwanzo wa mwisho wa dunia. Wakati huohuo Mamlaka nchini DRCongo imewakamata watu kadhaa katika mji wa pili kwa ukubwa nchini humo, Lubumbashi.

Meya wa mji huo anasema kwamba wanajeshi walikuwa wakiwakamata wahalifu, japo wenyeji wa mji huo wanasema waliokamatwa ni vijana wanaoshukiwa kupinga utawala wa rais Joseph Kabila. HATUTAKI MAANDAMANO YOYOTE NCHINI KWETU.


Chanzo: BBC
 
Mungu awalaze mahali pema wote waliopoteza maisha wakipigania haki dhidi ya watawala wenye viashiria vya kidictete"

Hayo maneno yamwisho no ya kwako au ndivo walivoripoti BBC?
 
MWENYE ENZI MUNGU MAULANA MOLA WETU RHABUKA NAOMBA TUONGOZE NCHI YETU TANZANIA MILELE. ..TUEPUSHE NA SHARI ZA KILA AINA...MAANA WEWE NI MUNGU WA WOTE WENYE MWILI NA HAKUNA JAMBO LOLOTE LILO JUU AU CHINI YA JUA USILO LIWEZA. ....
 
Hv si alitangaza hata gombea tena
Au kabadili gear angan kama yule gambia??
 
Shirika la kibinaadamu la Human Rights
Watch linasema kuwa vikosi vya usalama
ini DR Congo vimewaua takriban watu 34
wakati wa maandamano wiki hii.
Mazungumzo yanayoendeshwa na kanisa
katoliki yanaendelea mjini Kinshasa ,ili
kujaribu kumaliza mgogoro katika ya
upinzani na rais Joseph Kabila ambaye
alikataa kuondoka madarakani wakati
muda wake ulipokamilika siku ya
Jumatatu.
Kuna ripoti tofauti kwamba watu wengine
17 wameuawa kaskazini magharibi mwa
Congo.

Maafisa wa polisi wanadaiwa kukabiliana
na wanachama wa kundi moja la
madhehebu linaloamini kwamba mwisho
wa utawala wa Kabila ndio mwanzo wa
mwisho wa dunia.
Wakati huohuo Mamlaka nchini DRCongo
imewakamata watu kadhaa katika mji wa
pili kwa ukubwa nchini humo,
Lubumbashi.
Meya wa mji huo anasema kwamba
wanajeshi walikuwa wakiwakamata
wahalifu, japo wenyeji wa mji huo
wanasema waliokamatwa ni vijana
wanaoshukiwa kupinga utawala wa rais
Joseph Kabila.


HATUTAKI MAANDAMANO YOYOTE NCHINI KWETU.
Chanzo: BBC
Niliipenda saaaana habari yako lakin kwangu umeharibu mwisho "HATUPENDI MAANDAMANO YOYOTE NCHINI KWETU"
 
huwa nawaza watawala especially africa(maana yake siyo viongozi?) huwa wanawaza nini kwenye vichwa vyao?
 
Hawa ndugu zetu nchi za magharibi wanachelewa sana kuchukua hatua hadi roho za watu zinaangamia! Africa bado tuna safari ndefu
 
Mungu awalaze mahali pema wote waliopoteza maisha wakipigania haki dhidi ya watawala wenye viashiria vya kidictete"

Hayo maneno yamwisho no ya kwako au ndivo walivoripoti BBC?
Been suda ananvutia kamba huenda akamaliza vibaya. Hongereni wana nchi wa Congo kwa ujasiri wa kumpinga raisi weni na hiyo ndio nguvu ya kidemocrsia haiwezekani MTU mmuajiri ninyi alafu mmuogope nenda zako mzee, kapunzike mzee ulizo pata zinatosha kwani utakufa njaa?
 
Baadhi ya Viongozi wa Africa í ¼í¼ wajaribu kutumia Akili Bwana. Kwa nini wanang'ang'ania madarakani? Wapishe na watu wengine. Hivi hawajifunzi huku Nchini kwetu Tanzania? Mambo yanavyokwenda Saafi kabisa.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom