Exactly!....a person who uses illegitimate violence and intimidation, especially against civilians, in pursuing political goals is a terrorist.
Kwa tafsiri isiyo rasmi ila inayowiana.
mtu ambaye anatumia vurugu zisizo halali na vitisho, hasa dhidi ya raia, katika kutekeleza malengo ya kisiasa ni gaidi.
afit mara ngapi uyo ni gaidi tu au kwa sababu hajajilipua
And an attempt to call someone a terrorist without a verbal confirmation of violence was for political reasons is a UJUHA.Exactly!
Ah! Wapi! US hawana muda wa kujua dini ya muhusika... jina tu na ethnicity vinatosha kutoa conclusion!
Kwahiyo, so long as the guy ana jina la kizungu na kwa bahati na mwenyewe ni mzungu, huyo ni gunman au ukitaka unaweza kumwita shooter! Na kama utataka kuandika kwa lugha yao, unatakiwa kuandika "...one gunman/shooter left at least 26 people dead!"
A "Gunman" kwa mara nyingine amewapa African Americans cha kuongea manake na wenyewe ni waathirika wakubwa wa social profiling!
We jaamaa ni bure kabisa!!Mjinga ni wewe uliyesema huyo muuaji hawezi kuitwa gaidi kwa sababu ni mzungu.
Wapo wazungu wengi tu ambao ni magaidi.
Ni dhahiri ulikuwa hulijui hilo. Na ndo ujinga wenyewe huo.
Ungekuwa unajua kuwa hata wazungu magaidi wapo basi usingesema ulichosema.
Hayo maswali kuhusu Waarabu ni rhetorical tu. Jambo jingine ambalo limepaa juu ya bichwa lako.
Unajua maana na sababu za rhetorical questions wewe?
Watu wanadhani eti ukiwa mzungu ndo huwezi kuitwa terrorist...And an attempt to call someone a terrorist without a verbal confirmation of violence for political reasons is a UJUHA.
We jamaa ni kiroja tupu!!!Nimekupa orodha ya wazungu Wamarekani ambao ni magaidi.
Acha kupotosha wewe.
We jaamaa ni bure kabisa!!
Hoja hapa ni social-profiling na ndio maana kuna post kwenye hii mada nilisema Devin amewapa sababu ya kuongea African Americans kwa sababu na wenyewe ni victims wa social profiling!!
Na hii social-profiling inasababisha watu kutuhumiwa hata kabla hawajapata uhakika!! Kama ungekuwa smart enough ungekumbuka kwamba, hata hao akina McVeigh uliowataja, hawakutajwa mwanzoni tu mwa shambulio!!
Soon baada ya shambulio kutokea, tuhuma moja kwa moja zikapelekwa kwa watu wa Middle East bila kuwa na uhakika@
Teh teh teh.We jamaa ni kiroja tupu!!!
Wewe jamaa ni jvha...Wewe umesema kama Devin ni mzungu basi hatoitwa terrorist.
Umedanganya.
Wazungu ma terrorists wapo.
And what do African Americans have to do with anything here?
Huyo Devin akifit definition ya terrorist basi na ataitwa hivyo.
Lakini hilo ni mpaka uchunguzi ufanywe.
Appropriate label na mamlaka husika itatolewa na hiyo huchukua muda.
But in the meantime, that doesn't prevent nimrods like you to speculate and peddle your conspiracies around.
Stupid.
Acha kujichekesha mbele za wanaume wewe...Teh teh teh.
Utamaliza adjectives zote leo.
Jinga kabisa
Wewe jamaa ni ****...
Hoja sio Wazungu kuwa ma-terrorists bali hoja ni watu kutuhumiwa bila kuwa na uhakika!!
Nimekupa mfano wa McVeigh uliyemtaja mwenyewe pamoja na wenzake!!
Na ulivyo **** unasema huyo Devit aki-fit wakati nimeshasema wengine "wanahukumiwa" kabla ya kufahamu kama wana-fit au hapana!!
Bitch slow down, be humble.Acha kujichekesha mbele za wanaume wewe...
Napia angekuwa dini flani gaidi angeitwaSiku zote muuaji akiwa mzungu wanasema ana matatizo ya akili
Ndo maana nimekuambia wewe jamaa ni jinga manake umeshindwa hata kutafsiri the way nilivyoandika hiyo wanahukumiwa!!!Wanahukumiwa na nani bila ya kuwa na uhakika?
Ni circuit court ipi ya Marekani iliyomhukumu mtu bila ya kuwa na uhakika?
Nitajie watu waliohukumiwa bila ya kuwa na uhakika.....
Si kweli.Siku zote muuaji akiwa mzungu wanasema ana matatizo ya akili
Nani kaanza kutukana kama sio wewe?!Bitch slow down, be humble.
Umekosea kuwasilisha hoja yako.
Kubali tu. Kutoa povu hakusaidii wewe kujifunza na kurekebisha ulipokosea.
Haya tukana sasa...
Wanahukumiwa na nani bila ya kuwa na uhakika?Ndo maana nimekuambia wewe jamaa ni jinga manake umeshindwa hata kutafsiri the way nilivyoandika hiyo wanahukumiwa!!!