Watu 26 wauawa kwa kupigwa risasi kanisani Texas, Marekani

Katika siku 309 za mwaka huu,
yametokea matukio ya mauaji ya kutumia bunduki 307 huko marekani,wastani wa tukio moja kila siku,
 
Wanasubiri kwanza kujua dini ya Mshambuliaji ndio waamue Kama ni uhalifu wa kawaida au Ugaidi
Ah! Wapi! US hawana muda wa kujua dini ya muhusika... jina tu na ethnicity vinatosha kutoa conclusion!

Kwahiyo, so long as the guy ana jina la kizungu na kwa bahati na mwenyewe ni mzungu, huyo ni gunman au ukitaka unaweza kumwita shooter! Na kama utataka kuandika kwa lugha yao, unatakiwa kuandika "...one gunman/shooter left at least 26 people dead!"

A "Gunman" kwa mara nyingine amewapa African Americans cha kuongea manake na wenyewe ni waathirika wakubwa wa social profiling!
 
Wanasubiri kwanza kujua dini ya Mshambuliaji ndio waamue Kama ni uhalifu wa kawaida au Ugaidi

Nadhani ameshatambulika ni Mzungu na Mkriso kwa mujibu wa Mtandao wa RT.com, nadhani neno Gaidi limeshafutika rasmi kwenye tukio hili, isipokuwa itaitwa tukio la ufyatulianaji risasi au mtu anayehofiwa kuwa na matatizo ya kiakili. Kiukweli Vyombo vya habari vina nguvu sana.
 
So long as ni Mzungu, huyo haitwi terrorist but just a shooter or a gunman!!

Timothy McVeigh ni mwarabu?

Terry Nichols ni mwarabu?

Eric Rudolph ni mwarabu?

Ted Kaczinsky je?

Unajua hao ni akina nani?

Acheni kuendekeza ujinga bana.

Terrorism ina fasili yake. Sasa kama jambo siyo terrorism mnataka liitweje?
 
Sasa mjinga kati yangu na wewe ni nani?! Kuna mahali nilipotaja Mwarabu?! We jamaa wa wapi wewe?
 
Nadhani ameshatambulika ni Mzungu na Mkriso kwa mujibu wa Mtandao wa RT.com, nadhani neno Gaidi limeshafutika rasmi kwenye tukio hili, isipokuwa itaitwa tukio la ufyatulianaji risasi au mtu anayehofiwa kuwa na matatizo ya kiakili. Kiukweli Vyombo vya habari vina nguvu sana.
Hakuna wazungu Wamarekani ambao ni magaidi?
 
Mjinga ni wewe unayekurupuka!! Jbu swali, wapi nimetaja Waarabu?
Mjinga ni wewe uliyesema huyo muuaji hawezi kuitwa gaidi kwa sababu ni mzungu.

Wapo wazungu wengi tu ambao ni magaidi.

Ni dhahiri ulikuwa hulijui hilo. Na ndo ujinga wenyewe huo.

Ungekuwa unajua kuwa hata wazungu magaidi wapo basi usingesema ulichosema.

Hayo maswali kuhusu Waarabu ni rhetorical tu. Jambo jingine ambalo limepaa juu ya bichwa lako.

Unajua maana na sababu za rhetorical questions wewe?
 
Timothy McVeigh ni mwarabu?

Terry Nichols ni mwarabu?

Eric Rudolph ni mwarabu?

Ted Kaczinsky je?

Unajua hao ni akina nani?

Acheni kuendekeza ujinga bana.

Terrorism ina fasili yake. Sasa kama jambo siyo terrorism mnataka liitweje?

Sasa mjinga kati yangu na wewe ni nani?! Kuna mahali nilipotaja Mwarabu?! We jamaa wa wapi wewe?

afit mara ngapi uyo ni gaidi tu au kwa sababu hajajilipua
....a person who uses illegitimate violence and intimidation, especially against civilians, in pursuing political goals is a terrorist.
Kwa tafsiri isiyo rasmi ila inayowiana.

mtu ambaye anatumia vurugu zisizo halali na vitisho, hasa dhidi ya raia, katika kutekeleza malengo ya kisiasa ni gaidi.
 
Back
Top Bottom