• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Watu 22 wafariki dunia na takribani 22 wajeruhiwa katika mlipuko nchini China

beth

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Messages
1,683
Points
2,000
beth

beth

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2012
1,683 2,000
Ni kutokana na mlipuko uliotokea karibu na kinu cha kutengeneza kemikali mjini Zhangjiakou huko Hebei mapema Jumatano asubuhi Novemba 28

Video iliyotolewa na Shirika la habari la Taifa nchini humo inaonesha moto na moshi mweusi ukifuka huku picha zikionesha magari yaliyoungua katika mitaa tofauti

Uzalishaji katika kiwanda cha kemikali cha karibu, Hebei Shenghua umesimamishwa huku mmiliki wa kiwanda hicho akithibitisha mlipoko huo haujatokea kiwandani hapo

Mwaka 2015, Watu 165 walifariki baada ya ghala la kuhifadhia Kemikali kulipuka katika mji wa Tianjin ambapo Serikali ilisema ni kutokana na kuhifadhiwa vibaya kwa malighafi hatari

1922800_1.jpg

1922801_2.jpg

=====

A blast near a chemical plant in Zhangjiakou city in China’s northern Hebei province early on Wednesday killed 22 people and injured at least 22 others, the local government said.

A video of the blast scene shared by state media showed billowing black smoke and flames, while photographs showed rows of burnt-out cars and trucks lining the streets on Wednesday morning.

The fire engulfed 50 vehicles, the official Xinhua news agency reported, citing sources from government.

Production at the nearby Hebei Shenghua Chemical Industry Co was shut down, said a woman who answered the plant’s telephone. A spokesman at ChemChina, owner of Hebei Shenghua, confirmed that the blast did not occur at Shenghua.

State media said all fires at the blast site had been extinguished.

Zhangjiakou, a city about 156 km (96 miles) northwest of Beijing, is set to host the 2022 Winter Olympics alongside the capital.

Public anger over safety standards has grown in China after three decades of swift economic growth has been marred by incidents ranging from mining disasters to factory fires.

In August 2015, 165 people were killed after a chemical warehouse explosion in the port city of Tianjin. A government report found that the disaster was cause by improperly or illegally stored hazardous materials.

China has vowed to improve industrial standards, but environmentalists say they fear oversight weaknesses persist, including an opaque production process for hazardous chemicals.
 
balimar

balimar

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2015
Messages
4,708
Points
2,000
balimar

balimar

JF-Expert Member
Joined Sep 18, 2015
4,708 2,000
Halafu eti wakupe mkopo kizembezembe tu
Hawa jamaa wanapambana hataree
 
P

pye Chang shen

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2016
Messages
5,207
Points
2,000
P

pye Chang shen

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2016
5,207 2,000
mambo ya kichina Hayo Na kemikali zao
poleni rafiki zetu
 

Forum statistics

Threads 1,406,600
Members 532,389
Posts 34,520,703
Top