Watu 150 Wainusurisha Iran Kula Kichapo Cha Mbwa Koko

Nyamsusa JB

JF-Expert Member
Jul 9, 2015
568
1,562
Habalini.

Ilikua dakika chache tu zimebaki yaani dakika kumi (10dk) au sekunde Mia Sita tu (600sk) Irani achezee kichapo cha Mbwa Koko aliekosea njia na kuiingia Mskitini.

Hii ni baada ya Mzee mzima Trump kuruhusu Mashambulizi lakini yaani kabla tu ya dakikika 10 Button ya Maangamizi Ibonyezwe Roho ya Ubinaadamu Ikamwingia Trump na kumuuliza Jenelari wake, kua ni Watu wangapi Wangekufa? Jibu likaja sir, si chini ya Watu, Binaadamu 150 wasio na Hatia. Ndipo Trump akaona hakuna Uwiano Mzuri kwa Kichapo hichi na kitendo cha Irani kutungua Ndege tena isiyokua na Binaadamu ndani yake.

Da wallahi. Iran katokea kwenye Tundu la Sindano, vinginevyo Heshima Ingekua Ishapatikana hapa Janvini.
 
Du! Hata hivyo Iran na USA kekuwa na mbwembwe za mdomoni nyingi sana kama wanaogopa vita matangazo na matishio ya nini !??
 
In a series of Twitter posts on Friday, US President Donald Trump said he had been prepared to strike three Iranian targets in retaliation but called off the operation at the 11th hour because such a response would not have been "proportionate".

"I asked, how many will die. 150 people, sir, was the answer from a General. 10 minutes before the strike I stopped it, not proportionate to shooting down an unmanned drone," he said, adding that he was "in no hurry" to confront Iran.
 
Vita vingelikuwa na maana kama viongozi wakuu wawili wangelikuwa wanakutana na kuzichapa. Lakini kama itahusisha watu wengine wasio na hatia, busi hakuna sababu ya kushabikia vita vya aina aina yoyote ile. We don't need more trouble, what we need is love.
 
Back
Top Bottom