zaid ya watu mia 1 wamepoteza maisha mjini sirte baada ya bomba la mafuta kulipuliwa,inasemekana watu hao wamekufa baada ya kuungua kabisa
sosi:dw radio
amakweli hodi ya chooni haiitikiwi karibu
Duuh!huo sasa msiba,
mkuu tujuze waliohusika na ulipuaji huo.
Hujuma zitakuwa nyingi ktk kipindi hiki!
na bado...huko patakuwa kama iraq baada ya sadam kuuawa...
Mungu pekee akasimame na aonekane pale kwani Mi nahisi hiyo ni cha mtoto.
Mungu pekee akasimame na aonekane pale kwani Mi nahisi hiyo ni cha mtoto.