Watu 100 wafariki kwa Babu!!

Danniair

JF-Expert Member
Feb 18, 2011
360
66
jana nilisoma kigazeti kimoja cha udaku kwamba watu 100 wamefariki btn Machi na April 2011. Baada ya kutoka loliondo. Kusema ni jambo la kawaida, lakini takwimu hizo mbona hazitolewi kila mwezi toka ktk hositali zetu? Mch. hakusema anazuia kifo. ieleweke yeye anatoa tiba tu. Kwanini kuwahesabu watu waliofariki baada ya kutoka loliondo? Mbona hamtoi idadi ya watu waliopona? Acheni hizo. acheni watu waende wapone wapunguze mizigo ya matumizi nyumbani na kwa taifa pia. Kama wewe hukupona jiulize kulikoni mbona wengine wamepona? kuliko kukimbilia kwenye maredio na kujitangaza kuwa dawa hiyo ni feki. Mbona tunapokwenda hatuendi kutangaza redioni kuwa tunakwenda lol? Kifo kipo hata kama angeshuka Muumba mwenyewe akakupatia dawa.
 
Unajua shetani hapendi watu wapone. Anataka aone watu wanvyhangaika tu na maradhi yeye ancheka na kufurahi pembeni!!!! Watu kupona ni vita kubwa sana kwake. Watu wataendelea kwenda lol na watapona tu!!!!
 
litakuwa linamilikiwa na mwiiiii-----ngi wa ruwa au kartotoise ndio wanampiga sana baada ya kukosa waamini
 
mbona watu kibao hufa muimbili kila wiki. popote kwenye wagonjwa kunaambao sikuzao zimefika hata kama wakipewa huduma na madaktari bingwa hata babu hayo ni mahesabu ya nature haraka haraka mwingine azaliwe, mwingine apate kazi na wengine wapate nafasi maisha yanaendelea dunia hii.
 
Back
Top Bottom