Watu 10 hatari nchini: Evarist Chahali akwepa mtego wa kwanza kutoka "kitengo"

huyo binti kwenye hiyo picha hajaanza leo kuomba watu urafiki na wala hiyo id haina uhusiano na hiyo picha.......huyo chalali wenu ni muoga tuu...kunguru yani kila jambo anadhani ni kitengo.....hahahaha
Maelezo yako yaonyesha unavyema kuhusu uyo mdada
 
Chahali pumbafu anaichafua kitengo huyo.. Anafanya makosa ya kimtandao sasa dhamira na nafsi yake inamshtaki, akiona kitu kidogo tu anashtuka na kusema ni kitengo.. Arrogant
 
Nazani honeypot ni huyo wa facebook mwenye picha ya mwanamke ila kiuhalisia ni mwanamme, ili kunasa watu.
 
Yaani friend request tu ; tunatumia MB kujadili;

At the same time moderators wanafuta tu mada za watu kwa mapenzi Yao.

Moderators wanaacha tujadili maswala dhaifu ambayo yanadumaza akili zetu
 
Naam.. Mambo yameanza kunoga.

Ile list ya watu waliotajwa kuwa hatari zaidi kwa usalama wa nchi imeanza kuwindwa.. Mmoja wa watu hao "hatari" ambaye aliwahi kutumikia Idara ya Usalama wa Taifa hapa nchini, Bwana Evarist Chahali ameanza 'kunusa' harufu ya mtego wa kumnasa anaodhani unasukwa na "kitengo".

Bwana Chahali, ambaye ni mtumiaji mzuri wa mitandao ya kijamii anayeishi ughaibuni kwa sasa, ameonekana kushtukia mchezo wa kumtega kwa kutumia mbinu aliyoiita chungu cha asali (honeypot)..

Kupitia ukurasa wake wa Twitter, Chahali amesambaza tego hilo na kusindikiza na maneno pamoja na kicheko kwa kuandika; "Honeypot? Kitengo kazini
1f601.png
1f601.png
1f601.png
"

View attachment 702564

My take: Inawezekana jamaa anajishtukia tu.. Kama huyo dada aliyemtext ni shabiki yake kweli atajisikiaje?!
Wanaume wanaoweza kunasa mtegoni mbona wengi tu! Chahali keshastuka!
 
Kwani ukimkubalia halafu ukamgeuzia kibao na kuanza kumtrack yeye hadi upate data si utakuwa umeonyesha weledi katika fani..sasa utawakataa wangapi..atoke kwenye social media basi
 
huyo binti kwenye hiyo picha hajaanza leo kuomba watu urafiki na wala hiyo id haina uhusiano na hiyo picha.......huyo chalali wenu ni muoga tuu...kunguru yani kila jambo anadhani ni kitengo.....hahahaha

Kwa nn wewe ujitenge naye!! Woga ndio akili najua unajua hilo ila kwa manufaa unayojua mwenyewe unapiga pembeni
 
Sasa huyu shushushu mstaafu amekuwa paranoid!!,yaani kila kitu ,unahisi unawindwa!!
Huyu jamaa,ndio wale ambao walipewa kazi na ndugu zao,lakini hawa kuwa intelligent enough kustahili kuwepo ndani ya TISS
Wewe unayestahiki chukua chance.
 
Back
Top Bottom