Watu 10,800 wapitishwa kuwania nafasi 70 tu Uhamiaji!

kumbuka kweny tangazo lao wanatakiwa 70 na tulioitwa c chini ya 12000 elfu bora wangechuj ht tubaki 100 zen wachukuliwe 70,30 waachwe
 
"INTERVIEW GUEST"
ipo mbagala karbu sana wagen mnaokuja kufanya interview
 
Jina ndio hilo ishu ni mchakato mzima wa watu 10,000 mpaka kupatikana 70
 
Habari zenu wadau

Jamaa yangu anaulizia, interview za uhamiaji zinafanyika kwa mtindo upi yani Oral ama Written ?
Natanguliza shukuruni kwa majibu yenu. Ameitwa kwenye nafasi ya mkaguzi mkuu msaidizi.
 
Kama mm natoka mkoani siwezi poteza nauli na muda. Pamoja na utu wangu maana lazima nikakae kwa ndugu. Kila kitokeacho kina msukimo fulani hujui labda kitakachokua kinampa mtu msukumo
 
Mkuu si ufunguke tu kuwa wewe ndio muhusika.Mimi naona ni bora akajiandaa maeneo yote matatu ambayo ni usaili wa kuandika, kuongea na mazoez mfano kukimbia, pushap na mengineyo, subir na wataalam wengine waje watufahamishe zaid.
 
Mkuu si ufunguke tu kuwa wewe ndio muhusika.Mimi naona ni bora akajiandaa maeneo yote matatu ambayo ni usaili wa kuandika, kuongea na mazoez mfano kukimbia, pushap na mengineyo, subir na wataalam wengine waje watufahamishe zaid.
maelezo yako yamejitosheleza.
 
Elimu yenyewe inayotolewa kwenye vyuo vyetu shida, wanafunzi kujituma hawataki. walimu wako busy na biashara au kazi zingine kuongeza kipato. Hii ni chain ya matatizo.
Vijana tukaze buti kusoma kwa bidii na kuumiza akili ili kuwa wabunifu ikiwezekana. Tuibane serikali kutimiza wajibu wake.
 
Watakaokosa wajiajiri wenyewe, wakati wa kusubiria kuajiriwa na Serikali ilikuwa enzi hizo wasomi wachache kuliko ilivyo sasa shule na vyuo vimetapakaa hadi uchochoroni,.

Bado wana nguvu za kutosha wasikate tamaa,...
 
Mwenye Madesa ya Maswali kwa waliotangulia/wahi kufanya Interview zao tunaomba watuwekee hapa Maswali Common yanayoulizwa ili tusije tukachemka hiyo Siku.
 
Si mkwara hivi nipo na team watu 4 tumeshauriana tupeleke polisi copy moja ili yakititoka majina yao iwe rahis kujua kuwa awali hayo majina yalikuwepo,ni kweli kuna hizo habari
Ungeyaleta humu kabla ingekua bora zaidi.
 
Back
Top Bottom