OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 3,624
- 9,167
Hellow wakuu,
Kwa wale tunaoishi kwa kuunga unga , tunaofanya kazi za kijungu jiko,
Leo nawaletea chimbo la kujipatia watoto kirahisi kabisa,
Unachotakiwa kufanya hakikisha upo kwenye magroup mengi, hasa hasa yale ya kujoin kwa link,
Then
Angalia mdada anayechati sana, au angalia anayekuvutia kwa kumsoma kupitia chats zake,
Baada ya hapo mzamie inbox , hakikisha asijue kama namba umeitoa kwa group mpaka umkoleze kwanza kimawasiliano, endapo hatakuuliza namba yake ulipoitoa we songa nae,
Ndani ya siku moja utakuwa tayari ushapata watoto kadhaa, then weka apointment kwaajili ya mgegedo,
Nawasilisha.