Watsapp groups: chimbo la kujipatia mademu kirahisi

OMOYOGWANE

JF-Expert Member
Dec 30, 2016
3,509
8,823
Hellow wakuu,

Kwa wale tunaoishi kwa kuunga unga , tunaofanya kazi za kijungu jiko,
Leo nawaletea chimbo la kujipatia watoto kirahisi kabisa,

Unachotakiwa kufanya hakikisha upo kwenye magroup mengi, hasa hasa yale ya kujoin kwa link,
Then
Angalia mdada anayechati sana, au angalia anayekuvutia kwa kumsoma kupitia chats zake,

Baada ya hapo mzamie inbox , hakikisha asijue kama namba umeitoa kwa group mpaka umkoleze kwanza kimawasiliano, endapo hatakuuliza namba yake ulipoitoa we songa nae,

Ndani ya siku moja utakuwa tayari ushapata watoto kadhaa, then weka apointment kwaajili ya mgegedo,

Nawasilisha.
 
Hahaha hii wape wanaume wanaogopa kutongoza wanawake live haiwezekani nione wanawake njiani wenye vigezo vyangu niache kuwafuata nikimbilie kusoma msg 2500 kila siku za magroup ya whasup ili nipate demu lopolopo wa kuwa nae....niki fail kbs hapa nilipo kuna chuo cha CDTI naweza kuwategea njiani hawana gharama wale ni uwe na nyumba ya kukaa na chakula cha kutosha..anakuja anafanya usafi,anapika tunakula tunagongana anaondoka...chakula kikiisha mapenzi yamekufa
 
Atajuaje kama ushanunua tena chakula?
 
aisee looh
 
wasap group utapata makahaba tu, kwa kusuuza rungu tu fresh ila mie huwa naenjoy mtongozo wa face to face mtu anavyo babaika kujibu makombora yangu.

basi nikitoka kaelewa naweza kata kiuno peke yangu kwenye uchochoro kujipongeza
 
b2cd85468827b2742ca6d032e4cee7f0.jpg

Ngoja niende whatsap sasa..
 
Hahaha hii wape wanaume wanaogopa kutongoza wanawake live haiwezekani nione wanawake njiani wenye vigezo vyangu niache kuwafuata nikimbilie kusoma msg 2500 kila siku za magroup ya whasup ili nipate demu lopolopo wa kuwa nae....niki fail kbs hapa nilipo kuna chuo cha CDTI naweza kuwategea njiani hawana gharama wale ni uwe na nyumba ya kukaa na chakula cha kutosha..anakuja anafanya usafi,anapika tunakula tunagongana anaondoka...chakula kikiisha mapenzi yamekufa
Huwezi kupata watoto kwa uelewa ulio nao na uwezo mdogo wa kuelewa ma kufikiria kilicho andikwaa na kukielewa vyema.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom