Watowaji nyaraka na wapokeaji. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watowaji nyaraka na wapokeaji.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Sonara, Jul 28, 2009.

 1. Sonara

  Sonara JF-Expert Member

  #1
  Jul 28, 2009
  Joined: Oct 2, 2008
  Messages: 730
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Ndugu wa Tanzania kumekuwa na mazungumzo mengi kuhusiana na waraka wa makanisa kwa bahati nzuri wabunge wenye imani ya ukristo wameweza kuonesha hisia zao kiasi gani wamefurahishwa na waraka huo, kwa upande wa wabunge wenye imani ya kisilamu bado hatujasikia nini maoni yao,ukimnya wao hatuelewi unamainisha nini ? kuwa nawao wamekubali au wanasubiri waraka wakisilamu ili waunge mkono?
   
 2. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #2
  Jul 28, 2009
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,730
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Hili ndilo lililozungumzwa na Kingunge!
   
Loading...