Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 29,342
- 40,206
- Thread starter
- #41
Inawezekana ikawa jibu sahihi,pamoja na post No.36Mbegu ya kike huenda slow kuifuata ovan japo huishi muda mrefu hata kama isipopata yai. Mbegu ya kiume inaenda kasi katika kulitafuta yani japo huwa na maisha mafupi isipopata yai.
Michepuko mingi huogopa momba hivyo hufanya mapenzi katika siku anazoona yeye zinausalama. Hivyo bas endapo atafanya mapenzi katika siku za mwisho za usalama hapo ndo matatizo huanzia.
Maana mbegu za kiume zitakuwa zimekufa ila za kike zinakuwa bado zinaishi na ikitokea tu yai limetoka kwene ovari hiyoo mpaka ndani japo mhusika alijua kafuata kalender.
Mtazamo wangu huo
Sent using Jamii Forums mobile app