Watoto wengi wa nje ya ndoa kwa wanaume wengi ni wa kike

Anasema kigezo cha kuwa mchepuko pia kinazingatiwa,nafikiri zoezi lishakuwa gumu manake mie nina uhakika kwako sio mchepuko

Niliona hiyo nikasema hii ishafeli, maana ina masharti magumu.

Ila hapo ni kama inatafutwa uoga tu, kwamba ukifanya na mchepuko unafanya kwa uoga.
 
Inatokana na kwamba..

Mara nyingi katika mzunguuko wa mwanamke kama tunavyofahamu siku za mtoto wa kike ni nyingi kuliko siku za mtoto wa kiume..

Jambo hili hupelekea probability ya kupatikana mtoto wa kiume kuwa ndogo kuliko ya upatikanaji wa mtoto wa kike..

Back to the point...

Mara nyingi mechi za ujanani huwa hazipo rasmi hivyo hazizingatii muda bali nafasi au chance ilipatikana tu basi gemu inapigwa..

Hali hii hupelekea watoto wengi wasiotarajiwa kuwa wa kike.. Ila bahati ikilalia upande wako basi unaweza ukabahatisha wa kiume ila chance ni ndogo..

Hiyo ni kwa mimi ninavyofaham...

🐦🐦
 
Inawezekana hili likawa jibu sahihi
 
Mbegu ya kike huenda slow kuifuata ovan japo huishi muda mrefu hata kama isipopata yai. Mbegu ya kiume inaenda kasi katika kulitafuta yani japo huwa na maisha mafupi isipopata yai.

Michepuko mingi huogopa momba hivyo hufanya mapenzi katika siku anazoona yeye zinausalama. Hivyo bas endapo atafanya mapenzi katika siku za mwisho za usalama hapo ndo matatizo huanzia.

Maana mbegu za kiume zitakuwa zimekufa ila za kike zinakuwa bado zinaishi na ikitokea tu yai limetoka kwene ovari hiyoo mpaka ndani japo mhusika alijua kafuata kalender.

Mtazamo wangu huo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom