Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 26,574
- 48,725
Hivi ni mimi tu jamani naona hali hii? Recently naona wanawake wengi wanajifungua watoto wanakufa ni watu wangu tu au na huko kwenu jamani?
ASANTE MKUU YAANI SIO KAWAIDAMy nikupe pole kwa vifo vya watoto wa rafiki zako tusubiri majibu ya wengine.
NI KWELI ILAHiyo ni mipango ya Allah,tusiwe na dhana mbaya
Ukiweka tu "ILA" unataka dhana nyingine xaxaNI KWELI ILA
POLE SANA JAMANIHata sielewi jamani. Mimi pia yalinikuta mwaka jana mwezi wa kumi.
Halafu vikawa vifo vya mfululizo mtaani kwetu.
Waliobahatika walifanyiwa operation.
Nashukuru Mungu kwa kila jambo. Naamini atanipa tena. Double Blessing .
Ni kwasababu mipango mingi ya uzazi inaenda kwa kudra za mwenyezi Mungu. Mama mtarajiwa anatakiwa ajiandae angalau miezi mitatu kabla hajashika mimba, angaalie afya yake, damu mwilini mimba inapotunga mama anagawana damu na mtoto, hivyo ni vizuri kuwa kwenye folic acid miezi mitatu kabla na miezi mitatu baada ya mimba kutunga.
Vitu vingine ni regular check ups na midwife.
Si ndiyo maana nimesema kudra za mwenyezi Mungu mkuu.Mkuu hii unaongelea kwawenzetu au?...maana sie tulishazoea baada ya mwezi ndotunaambiwa baba naniliuu nitakua na mimba
ahaaaaa unaambiwa kitu kipo ndaniMkuu hii unaongelea kwawenzetu au?...maana sie tulishazoea baada ya mwezi ndotunaambiwa baba naniliuu nitakua na mimba
mbona huko nyuma vifo havikuwa vingi hivi kwani walikuwa wanapangilia?Ni kwasababu mipango mingi ya uzazi inaenda kwa kudra za mwenyezi Mungu. Mama mtarajiwa anatakiwa ajiandae angalau miezi mitatu kabla hajashika mimba, angaalie afya yake, damu mwilini mimba inapotunga mama anagawana damu na mtoto, hivyo ni vizuri kuwa kwenye folic acid miezi mitatu kabla na miezi mitatu baada ya mimba kutunga.
Vitu vingine ni regular check ups na midwife.
Hili swala nililifikiria pia, unakumbuka miaka ya 70-80 elimu ya watu wazima ilisaidia sana kuwezesha watu kujua kusoma na kuandika na kulikuwa na vitabu vingi sana vya elimu ya watu wazima kuhusu chakula bora kwa mama mjamzito. Hivi vitu sikuhizi havipatikani. Ingawa kuna televition sikuhizi lakini wenye uwezo wa gharama za umeme bado ni kama 25% ya watianzania wote.mbona huko nyuma vifo havikuwa vingi hivi kwani walikuwa wanapangilia?
Ni kwasababu mipango mingi ya uzazi inaenda kwa kudra za mwenyezi Mungu. Mama mtarajiwa anatakiwa ajiandae angalau miezi mitatu kabla hajashika mimba, angaalie afya yake, damu mwilini mimba inapotunga mama anagawana damu na mtoto, hivyo ni vizuri kuwa kwenye folic acid miezi mitatu kabla na miezi mitatu baada ya mimba kutunga.
Vitu vingine ni regular check ups na midwife.
Ni kwasababu mipango mingi ya uzazi inaenda kwa kudra za mwenyezi Mungu. Mama mtarajiwa anatakiwa ajiandae angalau miezi mitatu kabla hajashika mimba, angaalie afya yake, damu mwilini mimba inapotunga mama anagawana damu na mtoto, hivyo ni vizuri kuwa kwenye folic acid miezi mitatu kabla na miezi mitatu baada ya mimba kutunga.
Vitu vingine ni regular check ups na midwife.
Ni kwasababu mipango mingi ya uzazi inaenda kwa kudra za mwenyezi Mungu. Mama mtarajiwa anatakiwa ajiandae angalau miezi mitatu kabla hajashika mimba, angaalie afya yake, damu mwilini mimba inapotunga mama anagawana damu na mtoto, hivyo ni vizuri kuwa kwenye folic acid miezi mitatu kabla na miezi mitatu baada ya mimba kutunga.
Vitu vingine ni regular check ups na midwife.
Sina jibu sahihi kwa hilo mkuu lakini haya huepushwa kama mama anajifungulia hospitali, pia ultrasound inaweza kuonyesha hatari hizi na mama anaweza kufanyiwa operation.samahani naomba kuuliza..... hivi kujiviringisha kitovu kwa mtoto inaweza kuwa sababu ya kifo chake ? na Ikiwa amezaliwa kwa operesheni?
Sina jibu sahihi kwa hilo mkuu lakini haya huepushwa kama mama anajifungulia hospitali, pia ultrasound inaweza kuonyesha hatari hizi na mama anaweza kufanyiwa operation.