Mitoto ya siku hizi ni ma play station tu utafikiri mizungu.. Yaani natamani nisingekuwa mkubwa
Tulikuwa Tunatoka Kanisa Moja Kijijini Kwenda Kanisa Jingine Kutembeleana Usiku Hadi Yesu Azaliwe...Humo Njiani Full Kupishana Na Wanga,kupitia Mahindi Ya Watu Na Viazi Njiani,hadi Kupambazuke Saafi!Asubuhi Yake Lazima Mama Awe Keshaandaa Mkate Wa Kuumua Kwenye Sufuria Huku mawazo Yote Kwenye Nguo Za Sikukuu,hukumbushwi Kuoga Siku Hiyo

mayai viza kwenye mikesha je!
Haaah iyo ilikua hatari tena warembo waliokua wanaringa
the nature of the past is decaying and formulating in fiction world ni shetani mkuu kaharibu vizazi hivi,nakumbuka baruti yangu ya bomba la maji nikipiga moja jua asubuhi msako heavy,nakumbuka tulikuwa ni mizunguko mtaa kwa mtaa tukipita lazima wajue tumepita maana hizo fataki isis ya syria haioni ndani
Watoto wa siku hizi wanajua mabisi na koni tu.