Watoto waoneshana kazi kwenye judo

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,266
33,039
<table border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" width="100%"><tbody><tr><td align="left"><table bgcolor="#dddddd" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" height="23" width="100%"><tbody><tr><td width="10">
</td> <td width="606">
</td> <td align="right" width="139">
</td> <td align="right" width="12">
</td> </tr> </tbody></table></td> </tr> <tr> <td bgcolor="#999999">
pix.gif
</td> </tr> <tr> <td class="shortnews" align="left" bgcolor="#ffffff" valign="top">
Wanafunzi kutoka sehemu mbalimbali nchini, leo wameanza michuano ya Taifa ya mchezo wa Judo wenye lengo la kupata washidi watakaounda Timu ya Taifa itakayoiwakilisha Tanzania katika mashindano yajayo ya Kimataifa. Ufunguzi wa mashindano hayo ulifanyika Uwanja wa Taifa (ndani) jijini Dar es salaam na kufunguliwa na Idd Kipingu ambaye aliwahi kuwa Mkuu wa Shule Makongo na ambaye hivi sasa ni Mkuu wa Shule ya Lord Baden Memorial High School iliyoko Bagamoyo. Kamera yetu ilinasa taswira zifutazo zikiwaonesha watoto hao wakichuana vikali...!

<!--ThumbBegin--> <!--ThumbEnd-->
Idd Kipingu akifungua mashindano hayo

<!--ThumbBegin--> <!--ThumbEnd-->
High table ilipambwa kwa bango la Tanzania Judo National Championship

<!--ThumbBegin--> <!--ThumbEnd-->
...baadhi ya watoto hao wakifuatilia hotuba ya ufunguzi

<!--ThumbBegin--> <!--ThumbEnd-->
..heka heka

<!--ThumbBegin--> <!--ThumbEnd-->
..chini kandamizaaaa

<!--ThumbBegin--> <!--ThumbEnd-->
...oooh nani zaidi!

<!--ThumbBegin--> <!--ThumbEnd-->
..hapo sasa!

<!--ThumbBegin--> <!--ThumbEnd-->
...lazima uende chini..!

</td></tr></tbody></table>
 
Mzizi unafanya global publishers nini? Manake source ya picha zako nyiingi ni huko
 
kuna mtoto picha ya tatu wa pili kulia mbona sikielewi kifua chake? au mchina...
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom