Watoto wanawauwa wazazi ili warithi mali

kidodosi

JF-Expert Member
May 1, 2013
2,290
1,379
​Imekuwa siyo jambo geni kwa wazazi kulalamika kuhusiana na watoto wao ambao wakiona wazazi wana nyumba mbili au tatu na wamestaafu kazi na mbaya zaidi kama mmoja wa wazazi amefariki basi watoto watafanya kila visa kwa wazazi mfano;kuwalazimisha kwenda kuishi nje ya mji au kijijini kwenye mazingira magumu maana wastaafu wengi wanakuwa wameishazoe mjini, sasa wakiona inashindikana wanaona bora kuwauwa.,
hapa mjini vijana wengi hawajitumi ila kila kukicha wanaomba wazazi wao wafariki ili wagawane/warithi mali mfano vijana wa sinza,magomeni,buguruni,upanga,masaki,mikocheni nk.

source:ITV
 
Kwanza ushirikina na mauwaji kwa tamaa ya kupata urithi yapo sana kwa nchi maskini, na cha ajabu ukisikia msiba watu wanalia na kuzika. Tofauti na nchi nyingi kama ulaya, America, na hata middle east ambapo pindi mtu anapokufa ni lazima apelekwe hospital kwa uchunguzi zaidi ili kijulikane nini chanzo cha kifo, ikibainika sababu ndio utaruhusiwa kuuchukuwa mwili, kama ni foul play mtachukuliwa hatua lakini huku mtu anatoa sababu tu ya kifo mara malaria sugu, blood pressure, figo zimefeli ili mradi tu lakini I bet kama ingekuwa hakuna kuzika mpaka doctor afanye postmortem wengine wangeishia jela tu
 
Urithi pekee unaotakiwa kudai ni elimu.., kama uwezo anao na hataki kukupa elimu bora.., muue..!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom