Watoto wanatakiwa kufanana na baba yao, na sio kufanana na vipimo vya D.N.A

Civilian Coin

JF-Expert Member
Dec 2, 2012
2,305
4,334
1. Baba yako ana watoto 10 na kila mtoto ana mama yake, ona kazi ya Mungu ilivyo, watoto wote lazima wafanane na Baba yao. D.N.A ya kazi gani wakati Mungu amedhihirisha kazi yake.

2. Mama yako ana watoto 10 kila mtoto na Baba yake, chakushangaza kila mtoto atakuwa na sura yake yaani kila mtoto atafanana na baba yake halisi. Kazi ya Mungu haina mapungufu, D.N.A ya nini wakati mambo hadharani.

3.Kunatofauti kubwa sana kati ya Baba Mzazi na Baba wa D.N.A

4. Mnapotegeshewa mimba msikimbilie D.N.A kimbilieni maumbile ya Mungu na ndio maana wengi wanalea watoto wasio wao.
Na kufarijiana eti kitanda hakizai haramuu.

Bado naendelea na utafiti wangu.

Rev. Deogratius Kisandu
The Kisandu Organisation
23 Desemba 2016
 
IMG_1195.JPG

Na Hawa wana baba mmoja?

Thread ya kijinga mno.

Kwa hiyo we unataka kusema watu wasifanye DNA au watu wasiamini DNA? Mtu anaweza kufanana na mtu yeyote ambae sio damu yake
.Kama una wasiwasi DNA ndio kila kitu .
 
1. Baba yako ana watoto 10 na kila mtoto ana mama yake, ona kazi ya Mungu ilivyo, watoto wote lazima wafanane na Baba yao. D.N.A ya kazi gani wakati Mungu amedhihirisha kazi yake.

2. Mama yako ana watoto 10 kila mtoto na Baba yake, chakushangaza kila mtoto atakuwa na sura yake yaani kila mtoto atafanana na baba yake halisi. Kazi ya Mungu haina mapungufu, D.N.A ya nini wakati mambo hadharani.

3.Kunatofauti kubwa sana kati ya Baba Mzazi na Baba wa D.N.A

4. Mnapotegeshewa mimba msikimbilie D.N.A kimbilieni maumbile ya Mungu na ndio maana wengi wanalea watoto wasio wao.
Na kufarijiana eti kitanda hakizai haramuu.

Bado naendelea na utafiti wangu.

Rev. Deogratius Kisandu
The Kisandu Organisation
23 Desemba 2016
Asante pastor, I wish ningekuwa mkeo ningemtafuta dume linaloshabihiana na wewe nikuletee baby boy fasta.
 
Najua kwa muda huu wachangiaji watakuwa wachache kidogo. Ngoja watakapopata taarifa kwamba umebandika jambo lingine! Subiri
 
Sijui watu wakikusema hapa JF nako utadai shilingi ngapi maana kule ulidai trioni tano
 
Kisandu vipi umepiga cha Atown? Mie nidai fidia ya elfu 5 tu hayo matrioni sina.
 
Ndugu uko sawa kabisa ila kwa MTU asiye na busara ataishia kupinga na kutukana. Kinachoniuma zaidi kwenye familia mnazaliwa watu 10 kila MTU na sura yake lakin wachina wakorea mbona wao wanafanana
 
mwingine katufundisha mme wa mtu ni maziwa wewe unakuja na lako wachungaji wa siku hizi bwana,anyway mimi hata laki tano sina niishie hapa.
 
Ndugu uko sawa kabisa ila kwa MTU asiye na busara ataishia kupinga na kutukana. Kinachoniuma zaidi kwenye familia mnazaliwa watu 10 kila MTU na sura yake lakin wachina wakorea mbona wao wanafanana

Wachina hawafanani, ni wewe Mbantu unaona wanafana.
 
Back
Top Bottom