Watoto wanamjua Diamond na Joti zaidi ya Kikwete

zagarinojo

JF-Expert Member
Jul 26, 2020
2,622
2,835
Eti wakuu hivi ni kweli kwa nchi kama yetu huenda wasanii wetu wakawa maarufu na kujulikana kuliko viongozi wetu....
Au ilikuwa hapo awali Swali ni kwamba viongozi na wasanii wapi ni maarufu na kwanini?

Umaarufu walio nao wasanii unaharibu vizazi vyetu ama wanatujenga?
 
Back
Top Bottom