Watoto Waliyozaliwa Usiku wa Kuamkia Christmas

Swadataa

Senior Member
Dec 9, 2013
161
65
Hii riport ni kawaida kutoka kila mwaka, hasa kwa mkoa wa Dar Es Salaam.
Please, tuweke nani 'Mtani Jamii Forum' tabiri idadi ya hao watoto ni wa ngapi kwa mkoa wa Dar au Manispaa zake?
 
mshindi anapata nini. maana mimi nikitabiri hapa sikosei..........................
 
Nyie endeleeni kutabiri mimi ngoja niendelee kukifinya kipunga hapa...
 
Back
Top Bottom