Watoto wa kike wanapitia changamoto nyingi sana

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Mar 10, 2022
17,796
32,145
Hivi wanaume wenzangu hatuwe kumsaidia mtoto wa kike bila kumuomba mbususu jamani

Maana watoto wengi wa kike wakitaka kupata kazi basi watoe mbususu haya atakayekuja kumuoa ataikuta ikiwa na hali gani?

Mfano wasanii wa kike wengi wanapitia hayo na sasa tunaona kwa konde boy alichokifanya kwa Anjella

Alijidai anamsaidia atampeleka India kutibiwa matokeo yake hakuna alichoambulia zaidi ya mimba na kupokonywa vitu vyake vyote

Mimi kwa hili big no hata mtoto wangu wa kike akiwa anapenda sanaa hapana hapana siwezi vumilia kuona hayo yakitokea
 
Sio kila mwanaume Ana tabia Kama za Harmonize, wapi wanaume wengi ambao Ni wazuri Sana Kwenye suala Zima la kuwahudumia wanawake bila kulipwa chochote in return.

Hata humu Jf wapo wanaume wengi wazuri Sana ambao huwa wanawasaidia wanawake.
 
Angalia asilimia kubwa ipo wapi? Ujue mimi na hushaidi kabisa waa haya matukia
 
Iv wanaume wenzangu hatuwe kumsaidia mtoto wakike bila kumuomba mbususu jaman

Maana watoto wengi wakike wakitaka kupata kazi basi watoe mbususu aya atakae kuja kumuoa ataikuta ikiwa na hali gani?

Mfano wasanii wakike wengi wanapitia hayo na sasa tunaona kwa konde boy alicho kifanya kwa anjella

Aliijidai ana msaidia atampeleka india kutibiwa matokeo yake hakuna alicho ambulia zaidi ya mimba na kupokonywa vitu vyake vyote

Mimi kwa hili big no ata mtoto wangu wakike akiwa anapenda sanaa hapana hapana siwez vumilia kuona hayo yakitokea
Unateseka?
 
Kwamba harmonize kampa mimba!! Hatar sana.

Anyway wanaume tuwe smart ushamba wa kumtaka kila demu hauna mpango ni ujinga ,jaribu kujiheshimu toa msaada as you can and expect nothing in return.
Wengi hawapo hivyo utasikia njoo kino zone saa tatu 😂😂😂😂
 
Sio kila mwanaume Ana tabia Kama za Harmonize, wapi wanaume wengi ambao Ni wazuri Sana Kwenye suala Zima la kuwahudumia wanawake bila kulipwa chochote in return.

Hata humu Jf wapo wanaume wengi wazuri Sana ambao huwa wanawasaidia wanawake.
Kama mimi hapa. Ila wakati mwingine mabinti wengine huamua kujilengesha wenyewe bila kushawishiwa au kulazimishwa. Wakati sisi wengine huasaidia bila kutarajia malipo ya aina yoyote, achilia mbali mbususu.

Kuna binti mmoja aliwahi kuniomba nimkopeshe kiasi fulani cha pesa ili amtumie mama yake kijijini. Mimi niliamua kumpatia bure kabisa kiroho safi. Baada ya hapo akaanza kuwa karibu na mimi sana kuliko awali. Mimi nikachukulia poa na nikajikausha. Akaona kama vile simwelewi.

Siku moja alinitumia picha yake akiwa kajilaza kitandani halafu akanikaribisha "Tony karibu tulale".
Nikampotezea mazima. Hivyo unaweza kuona wakati mwingine ni mabinti wenyewe wanajirahisisha baada ya kusaidiwa hata kama hawajaombwa
 
Na wewe utakuja kuliwa siku yake
naona bado hujaridhika umekuja kunikandamiza Tena

Kuna mazingira yanakulazimu unyandue ila sio necessary sometimes.....

Natolea mfano..
Kuna siku nimekaa dukani akaja bwana mdogo mmoja rafiki yangu na Ni mdogo angu pia ananambia bro Nina kipengele (pisi) ila nyumbani mazingira hayaRuhusu
Naomba nipe funguo za nyumba nikanyanduane

Nikamwambia freshi ila hakikisha anapika. nikampa na pesa akanunue kilo ya nyama.
Baada ya muda dogo alirejea akasema bro huwezi amini pisi imekuja na Dada yake inasema haiwez kukaa mbali na Dada yake kwahio nimemleta yupo sebuleni na Hana kampani ikiwezekana twende.

Basi nikaangalia Hali ya hewa ilikua Ni wingu zito linaloashiria mvua kubwa muda mfupi ujao, nikaona isiwe kesi twende tu nikaegesha mlango wa goli tukaenda nyumbani
Kufika namkuta huyo Dada.
Sio kinyonge alikua mzuri, Mali standard kabisa kwa vipimo vya standard deviation.

Mvua ilinyesha kubwa Sana mpaka saa nne usiku Hadi ikawapelekea wao kushinda kurudi kwao maana.

Dogo aliondoka na pisi yake nami nikabaki na Dada mtu na nikamgegeda
Sasa ata ungekua wewe unatoa hifadhi hivi hivi?
Ata manzi mda mwingine ukimsaidia bila kumgegeda anakuona kanjanja
 
Naunga mkono hoja
 
Unajisifu kabisa
 
Back
Top Bottom