Watoto wa Will Smith na Jada

Bossman kumbe unasomaga NY Post?

Ila hao watoto naona hawajielewi kama vile ambavyo wazazi wao wasivyojielewa.

Uhusiano wa Will na Jada uko kidizaini dizaini....kwa hiyo mi naona kuwalaumu au kuwakosoa hao watoto si kuwatendea haki.

Huenda wamerithi hivyo vi sifa bainishi kutoka kwa wazazi wao.
 
Mara chache tu online natazama tazama
kuna kitu sijakielewa Jada na Will
mara nilisikia ni open relationship mara hivi

halafu inaonekana kama yule mtoto wa kwanza ambae hakuzaa na Jada yuko okay tu
ila hawa ndo 'too spoiled'
 
Kuna watu wamekaa nyumbani na laptop na viblog vyao na wao wanajiita "journalists" kazi yao ni kuandika trash ili wapate wasomaji weeengi na ndio maisha yao yanaenda. Mbona hao watoto wako poa tu tofauti na wengine waliozaliwa huko Holliwood.
 
mkuu mtoto wa kiume anavaa nguo za kike hadi anapata mkataba wa kutangaza nguo za wasichana
we unaona ni 'normal'?
 
Back
Top Bottom