Watoto wa walala hoi sasa kukiona katika shule za st kayumba

Profesa

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
905
624
Kwakuwa watoto wao wanakwenda hizo St nini sijui na Academy gani sijui hili kwa Waziri hawoni shida kulitamka kwenye majukiwaa na kugeuka kuwa sera. Mahesabu yake hayasomeki kabisa maana hata Health insurance sio ghali hivyo:

Tamko hilo lilitolewa jana na Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi, Philipo Mulugo alipokuwa akizungumza na wakuu wa shule za msingi na sekondari jijini Dar es Salaam.

"Lakini michango hii yote ihakikishwe inatolewa kwa risiti ili nitakapokuja kutembelea, ama mzazi akitaka kujua matumizi, aonyeshwe kihalali na sio kuchukua fedha hizo na kuzitumia mnavyojua,” alionya naibu waziri huyo.

Alitaja michango inayoruhusiwa na viwango vyake kwenye mabano kuwa ni tahadhari (Sh5,000), taaluma (Sh15,000), vitambulisho (Sh5,000), nembo ya shule (Sh2,000) na madawati (Sh15,000) . Alisema fedha hizo zinapaswa kutolewa kabla wanafunzi hawajaanza masomo.

Waziri abariki michango shule za msingi
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom