Serikali haina uwezo wa kuwasomesha wanafunzi wote wanaodahiliwa ktk vyuo vikuu.
Serikali haina uwezo wa kuwasomesha wanafunzi wote wanaodahiliwa ktk vyuo vikuu.
Serikali haina uwezo wa kuwasomesha wanafunzi wote wanaodahiliwa ktk vyuo vikuu.
....jamani haya sio mazingaombwe hii ni halisi kuwa serikali imezidiwa na matumizi. So kama kesi ni ufinyu wa bajeti hata cc watoto wa wakulima tunajua hilo...mana nakumbuka kule kijijini mambo yanakua magumu mpaka mnalazimika kulala njaa kwa kukosa pesa...so wazo langu ni kuwa hao waliopata mkopo inatosha na waliokosa ndo vile tena bahati mbaya. Ni muhimu kupata mkopo kwa wote wanao dahiliwa lakini sio lazima...
Ninaamini bodi ya mikopo wanaongozwa na bajeti.
Hawawezi kutumia pesa zinazozidi bajeti yao.
Pesa ya Kununua Ma Cruser VX,Safari za Ulaya ,ma world Economic forums hizo zipo,ila pesa za kusomesha watanzania Vyuo hazipo.
the system is soo broken down.natamani kuchukua mtutu.kwani Maandamano hayasaidii tena ktk Magamba