Watoto wa wakulima waanza kuvikimbia vyuo vikuu

Bulah

JF-Expert Member
Aug 19, 2011
247
56
Baadhi ya wanafunzi walipata udahili second round na kukosa mikopo, wamefika vyuoni na kujiamulia kuondoka coz hawana msaada.
 
Sio 2nd round pekee,hata 1st round wengi tu wameamua kuacha vyuo..sijui hi serikali ya jk itapeleka wapi hii dhambi ya kuwabagua watanzania ktk elimu yan!
 
ngoja wale jeuri yao, hao wakulima si ndo serikali yao hii.. kwani magamba ndiko
yanakoponea huko. bora warudi tu labda wataenda kuwaelimisha wazazi wao
kuwa magamba ni kero....
 
Safi sana! usiku ukikomaa karibu mapambazuko!. hayo ndiyo mambo yatakayomuwezesha kila mtu kuona ubabe unaoendelea nchi hii. chama kimegeuzwa Kampuni lenye Wakurugenzi wenye hisa kubwa na ndogo. Wenye hisa kubwa ndiyo wenye sauti kubwa katika kampuni.
 
Serikali haina uwezo wa kuwasomesha wanafunzi wote wanaodahiliwa ktk vyuo vikuu.
 
jmn ikumbukwe kuwa hawa ni wa tz wenzetu system mbovu mbovu imekuwa kama kansa eeeh! Mungu tuhurumie
 
Tatizo wabongo tunachakachua hata visivyohitaji kuchakachuliwa, kitendo cha mtz kukosa elimu ambayo ni haki yake ni sawa na kumuua ni vyema tukajadili nini kifanyike ili wote wenye stahili hiyo waipate au tuanzishe vyuo vikuu vya kata.
 
Serikali haina uwezo wa kuwasomesha wanafunzi wote wanaodahiliwa ktk vyuo vikuu.

Hivi weWe ni mtanzania halisi?Pesa kwa ajili ya kusomesha wanafunz vyuo vikuu haitoshi? Haya ni MASHUDU, Magari ya Vx,V8 wanapewa bure?pesa za epa,dowans,raisi kwenda nje ya nchi,kuwalipa wabunge sitting allowance wanazipata wapi?
 
....jamani haya sio mazingaombwe hii ni halisi kuwa serikali imezidiwa na matumizi. So kama kesi ni ufinyu wa bajeti hata cc watoto wa wakulima tunajua hilo...mana nakumbuka kule kijijini mambo yanakua magumu mpaka mnalazimika kulala njaa kwa kukosa pesa...so wazo langu ni kuwa hao waliopata mkopo inatosha na waliokosa ndo vile tena bahati mbaya. Ni muhimu kupata mkopo kwa wote wanao dahiliwa lakini sio lazima...
 
nashindwa kuamini kama wewe ni mtanzania na una uchungu na watz wenzako.
 
Inauma sana! Niliwahi kupita St. Josef college of Engineering (SJCT) kukawa kuna mwanafunzi aliyepata asilimia 60 ya mkopo lakini anatakiwa kulipa laki tisa (980,000) za tuition fee na 120,000 za stationary! Yaani milion na laki 2 kila mwaka huko bodi ninamuhesabu kwamba amepata mkopo. Kwa mtoto wa mkulima haya ni maafa, lazima arudi nyumbani!
 
Ninaamini bodi ya mikopo wanaongozwa na bajeti.

Hawawezi kutumia pesa zinazozidi bajeti yao.
 
Ninaamini bodi ya mikopo wanaongozwa na bajeti.

Hawawezi kutumia pesa zinazozidi bajeti yao.

we mpumbav sana tumekuvumilia vya kutosha. Hatutaki tena uandike upupu wako humu ndan kama hauna la kuchangia acha. Kuwa mzalendo bana alaaa!?
 
Pesa ya Kununua Ma Cruser VX,Safari za Ulaya ,ma world Economic forums hizo zipo,ila pesa za kusomesha watanzania Vyuo hazipo.
the system is soo broken down.natamani kuchukua mtutu.kwani Maandamano hayasaidii tena ktk Magamba
 
pole zao hawa jamaa maana msoto wa mtoto wa mkulima sio kitu cha mchezo kaka..................
 
Back
Top Bottom