Usedcountrynewpipo
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,636
- 2,725
Baada ya kufanya utafiti (through observation) nimefikia conclusion kuwa watoto wengi ambao wazazi wao baba au mama ni muhadhiri wa chuo kikuu huwa wana uwezo mkubwa wa kiakili darasani. Nimetokea kusoma nao wengi na wengi kwa kweli wamekuwa wako vizuri...
Kama kuna mtu mwingine aliyepata matokeo tofauti na mimi atoe hoja...
Kama kuna mtu mwingine aliyepata matokeo tofauti na mimi atoe hoja...